Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Maisha ya mwanadamu katika ulimwengu huu ni mafupi sana na ndiyo sababu kila wakati anatafuta kufanya chaguo bora na kuwa na biashara yenye faida zaidi. Katika Qur'ani Tukufu, biashara na Mwenyezi Mungu imetambulishwa kama biashara bora zaidi .
Habari ID: 3475676 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24